PROMOSHENI YA BONASI YA RAFIKI

NAMNA YA KUCHEZA
 1. PATA TZS. 2,000/- bonasi ya Rafiki papo kwa hapo kwa hatua 2 rahisi:
  1. Wakaribishe rafiki zako kujiunga kwa njia ya SMS kwa kuwaelekeza watume neno KUBALI # ** *** *** (Namba yako ya simu) kwenda 15888 au “kujiunga kwa njia ya mtandao”.
  2. Ili upate bonesi, mwelekeze rafiki yako ajaze fomu ya kujisajili kwenye tovuti ya SportPesa na ajaze namba yako ya simu kwenye uwanja wa nambari ya mwelekezi.
  3. Hakikisha rafiki zako wameweka ubashiri wa kuanzia shilingi elfu mbili (2,000) wenye odds isiyo chini ya 1.60 katika mechi yoyote ya soka yenye soko la njia 3 (1,X,2), katika mchanganyiko wowote wa multi bet kwenye soko lolote kwa mchezo wowote, au kwenye bet yoyote ya jackpot.

VIGEZO NA MASHARTI KWA AJILI YA BONASI YA RAFIKI

 1. Vigezo hivi visomwe pamoja na Vigezo na Masharti ya Kampuni.
 2. Kipindi cha Promosheni: Promosheni itaanza siku ya Jumatatu, tarehe 7 Agosti 2017 saa sita na dakika moja alfajiri na kumalizika baada ya kutoa taarifa ya awali ya wiki moja kuhusiana na tarehe na saa ya kufunga kwa promosheni (“Kipindi cha Promosheni”).
 3. Ustahiki
  1. Wanaostahili kushiriki ni wale ambao wamejisajili na SportPesa (Washiriki) ambao wameweka ubashiri.
  2. Washiriki wawe na umri wa miaka 18 na zaidi.
  3. Wafanyakazi wa SportPesa Limited hawaruhusiwi kushiriki katika promosheni hii.
 4. Mshirika anayetoa maelekezo ni lazima awe ameweka angalau ubashiri mmoja na SportPesa.
 5. Mtu ambaye anaelekezwa kuwa Mshirika; lazima aanze kutumia akaunti yake kwa kuweka ubashiri wenye odds isiyo chini ya 1.60 katika mechi yoyoyte ya soka katika soko la njia 3 (1,X,2), katika mchanganyiko wowote wa multi bet katika soko lolote kwenye mchezo wowote, au kwenye bet ya jackpot.
 6. Utapokea bonasi ya shilingi elfu mbili (2,000) mara tu baada ya rafiki uliyemuelekeza akishaweka ubashiri wake wa kwanza wenye odds isiyo chini ya 1.60 katika mechi yoyote ya soka katika soko la njia 3 (1,X,2), katika mchanganyiko wowote wa multi bet katika soko lolote kwenye mchezo wowote, au kwenye bet ya jackpot.
 7. Madai yote ya Bonasi za Rafiki yanauhalali wa siku saba (7). Madai yoyote kutokana na bashiri zitakazowekwa baada ya muda wa siku saba kuisha hayatokuwa na uhalali.
 8. Kiasi cha bonasi kinachopatikana kupitia ofa ya bonasi ya Rafiki kinaweza kutolewa au kutumika kwa kuwekea bashiri.
 9. MENGINEYO
  1. Bonasi ya Rafiki ni kwa ajili ya Washirika halali, yaani, Washirika ambao hushiriki kiaminifu, kiadilifu, bila udanganyifu, kwa madhumuni ya kujiburudisha. Kuna njia za uhakiki ambazo hufanyika kabla ombi lako halijatimizwa, ambapo unaweza kupokea bonasi yako baada ya uhakiki wa kina kufanyika.
  2. Watu wanaojihusisha na michezo ya kubashiri kama taaluma au watu wengine wanaotambulika na uongozi wa SportPesa kuwa wanatumia vibaya ofa hii, wanaweza kuondolewa haki zao za kushiriki katika promosheni, kwa uamuzi wa Usimamizi. Maamuzi ya Usimamizi wa SportPesa ni ya mwisho.
  3. Kushiriki kwako katika promosheni ya bonasi ya Rafiki kunapelekea kukubali vigezo na Masharti ya Kuwa Mshiriki wa SportPesa.
Mkeka

Namba za Malipo

 • 150888
 • 150888
 • 150888
 • 150888
 • 150888

Huduma kwa Wateja

Tunatoa huduma angalifu kwa wateja masaa 24 kwa wachezaji wa SportPesa.